Solar lighting solutions in Tanzania

Nimeipenda sana hii solar system yao,but kama wangeiongezea hata uwezo wa tv ingekua better zaidi kwani hawa tanesco wana ufisadi wao upo hata kwa ma-meneja wa mikoa na wilaya.
 
Hizi sola mimi bado sizielewi vizuri. Pamoja na matatizo yote ya TANESCO, bado sola haijapata kushika soko. Nafikiri ina mushkeli fulani. Aidha katika gharama za matumizi au upatikanaji wa taa na vitu vingine vya sola. Siku moja nilienda kuulizia mambo ya sola karibu na gerezani, nikakuta agent mwenyewe anatumia tanesco, kumuuliza kulikoni hana jibu!!

Hebu wadau mliokwisha tumia sola tuambieni, inafaa?
 
The system is too small for a tv.We have been looking at the option of adding a 7inch tv to the kit but nothing has been confirmed yet.
 
The main concern with solar is pricing,current solar solutions are very expensive for markets such as Tanzania hence the slow uptake rate.
 
SunnyDaysTZ mbona sikuelewi? Unafanya biashara au unawakilisha...Mbona Attachment haifunguki? Ndo maana wadau hawajachangia!
 
Picha ya taa yako haionekani nataka hii taa but i need to see the pic first
 
i think the browser you are using is not updated.if you send me your contact emails i can email the photo as well,try getting the most recent browser then itaweza ku display the picture.

thanks

I am re-attaching here again,confirm if its received.
 
View attachment umeme.bmp

na Betty Kangonga

SHIRIKA la Umeme nchini (TANESCO) limesema kuwa maeneo mengi ya Jiji la Dar es Salaam yatakosa umeme wakati wa kufanya kazi katika njia ya umeme ya msongo wa kilovolti 132 katika laini ya Makumbusho kutoka kituo cha kupokelea umeme cha Ubungo jijini Dar es Salaam kuanzia Mei 30 hadi Juni 6, mwaka huu.
Taarifa iliyotolewa na Meneja wa Mawasiliano wa shirika hilo, Badra Masudi ilisema kuwa maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam yataathirika na katizo hilo la umeme ambao utazimwa kwa sababu za kiusalama ili kuruhusu kazi hiyo kufanyika.
“Kazi hiyo ni sehemu ya utekelezaji wa ujenzi wa kituo cha Makumbusho ambapo kukamilika kwa kituo hicho kutasaidia upatikanaji wa umeme wa uhakika,” ilieleza taarifa hiyo.
Aidha, iliongeza kuwa shirika hilo linatarajia ushirikiano kutoka kwa wananchi kwa kipindi ambacho kazi hiyo itakuwa inatekelezwa.
 
mei 30 wapii bwana sisi toka jana no power nothing!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom