Solar Fan zinapatikana.

Solar Fan zinapatikana.

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
5,335
Reaction score
2,903
Kama unahitaji solar fan ni PM, Specification zake ni kama ifuatavyo: Ina ukubwa wa 380mm, Dc 12 volt, 15 watts. Ukubwa wake na speed ya kupiga upepo ni kubwa kulika hata baadhi ya fan za AC vlt, Bei ni 60.000.
 
Inawaka muda gani masaa mangapi bila umeme?
 
mkuu unapatikana wapi? sorry unaweza weka picha au brand name
 

Attachments

  • IMG0014A.jpg
    IMG0014A.jpg
    11.2 KB · Views: 89
  • IMG0015A.jpg
    IMG0015A.jpg
    11.1 KB · Views: 79
Back
Top Bottom