Zamazamani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2008
- 1,903
- 831
Basic Installation ni kiasi gani?
SOLAR ni bei gani?
installment yake na vifaa vyote km battery,inveter,na panels zake kwa umeme wa kutoshea kuwasha vitu basic kama taa,t.v,feni na jokofu ndani ya nyumba?
SNL SOLAR LTD
Basic Installation ni kiasi gani?
Naweza pata system ya solar yenye taa interphase inayoweza chajia simu nimnunulie bibi yangu wa kijijini
ana maana akikufungia tanki la lita 120 unamlipa milioni mbili unusu120L Kwa 2.5 m ndo nini hii m ni mita,maji,million?
Pata solar water heater bora kabisa za MEGASUN kwa gharama nafuu zaidi na warranty ya kutosha kutoka SNL SOLAR LTD.
120L kwa 2.5m
200L kwa 3.5m
300L kwa 4.5m
KUMBUKA SOLAR WATER HEATER inahifadhi maji ya moto kwa muda wa siku tatu mfululizo hata kama jua halijawaka kwa siku tatu mfululizo.
Tunafunga mikoa yote kwa matumizi ya HOTELINI NYUMBANI etc
Wasiliana nasi 0714373488/0762246488/0784232526
![]()
![]()
![]()
mkuu natafuta solar ya kuwasha taa kumi na mbili na tv bei yake ngapi
mkuu natafuta solar ya kuwasha taa kumi na mbili na tv bei yake ngapi
Mkuu kwa nini usinunue wind turbine? Ni bora kuliko solar
Unauzaje mkuu