Solar kwa technologia ya kisasa na warranty ya maandishi

SNL SOLAR LTD

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
205
26
SNL SOLAR tumefanikiwa kutumia technologia ya kisasa na vifaa bora zaidi vinavyokuwezesha kupata umeme muda wote hata kipindi cha Mvua. Huduma zetu ni za uhakika na Tunatoa warranty ya kiufundi ya MWAKA MZIMA.

Na kama umeshafunga Solar yako na unasumbuliwa tunakurekebishia kwa gharama nafuu zaidi na tunatoa ushauri wa kiufundi.

Tupo SINZA KWA REMY.
MAWASILIANO: 0714373488/0762246488/0784232526
 
Ushauri wangu kwenu,toeni gharama za hivo vifaa vyenu au product kuanzia the cheapest one na hiyo product inakua na vitu gani ambavyo vitamvutia mtu mfano tunauza solar ya watt 10 kwa elfu 40 na inakuja na bulb 5 na ikiwa full inaweza kutumika for 3 to 4 days.

Hayo ndio mambo tunayovutika nayo na ndio mtu anaelimika na si unaweka tangazo mwisho wa siku tunasoma na kulidump.

Be creative wadau
 
Back
Top Bottom