Jaza pesa kidoogoo tukujazie solar imara nyumbani/ofisini/shambani

SNL SOLAR LTD

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
205
26
Karibu sana snl solar ltd tunakufikia popote ulipo kwa huduma zote za solar pamoja na backup za umeme kwa kutumia technologia ya kisasa na gharama nafuu.

warranty zetu ni za muda mrefu.

tupo sinza kwa remy.

mawasiliano 0714373488/0762246488/0784232526

IMG_20170602_101217_756.jpg
 
Habari zenu wadau wapi naweza pata Solar Unit ambayo
1. Inaweza run pump ya kisima (iliyozamIshwa )
2. Bulb zisizozidi 6
Nataka kujua ni watts ngapi zitatosheleza ?
Na solar panel za ukubwa gani zitatosha ?
Jee itagharimu kiasi gani ?
HP 2. Kisima urefu 70m
 
Duuuuu mtambo kama huo kwenye picha hizo betri zote... Ni umeme wa kv ngap? Unawwza kufanya nn na nn
Na gharama vp
 
Back
Top Bottom