Sokoine University Of Agriculture.

Sokoine University Of Agriculture.

code_cobar

Member
Joined
Jul 16, 2016
Posts
96
Reaction score
14
Habari za sa hizi wanajamvii huu Uzi ni kwa ajairi ya applicants walio chaguliwa sua au kwa yeyote anayesoma au ata kukifahamu hiki chuo vizuri

Lengo Ni kujua changamoto za pale na jinsi gani tutaweza kuzitatua sisi tunao jiandaa kwenda kujiunga mwaka wa masomo 2016/2017

Mimi binafsi nimefanikiwa kupata agribusiness asanten nawasilisha hoja.
 
kakomae.t msuli mzito.sikutishi ila.kasome hawana.utani ukilegalega utard home.ila n bonge.l.university. kakaze.t
 
Karibu kijana SUA ni rahisi kama utakuwa panctual na kusoma hayo mengine ni kutishana tu.Karibu mazimbu
 
Karibu sn sua ni bonge la chuo ila msul kwa kwenda mbele no bata
 
Karibu kijana SUA ni rahisi kama utakuwa panctual na kusoma hayo mengine ni kutishana tu.Karibu mazimbu
Nimekuelewa mkuu natambua wajibu na hiyo agribusiness inazungumziwaje apo chuoni.
 
Back
Top Bottom