Soko Laungua Mpanda

Fisherscom

JF-Expert Member
Mar 13, 2008
1,763
764
Habari nilizozipata hivi punde ni kwamba soko lililopo Mpanda mkoani Rukwa linalofahamika kwa jina la Buzega limeungua lote usiku wa kuamkia leo na kusababisha hasara kubwa kwa wafanya biashara wa eneo hilo. Hakuna mtu aliyejeruhiwa wala kufariki. Naendelea kufuatilia taarifa za chanzo cha moto huo na tutaendelea kuhabarishana kinachoendea. Poleni sana waahanga wa tukio hili.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom