Soko la zao la muhogo

Soko la zao la muhogo

davi255

Member
Joined
May 1, 2019
Posts
7
Reaction score
1
Wapendwa poleni na kazi ningependa kupata wateja waoweza kuwa na uhitaji wa zao la muhogo ipo tayar shamba lipo fukayosi maeneo ya bagamoyo
 
Wapendwa poleni na kazi ningependa kupata wateja waoweza kuwa na uhitaji wa zao la muhogo ipo tayar shamba lipo fukayosi maeneo ya bagamoyo
Inaivaaa?
Weka picha ikiwa imeiva ilivyomwagika
 
Habar za siku nyingi wadau wa uzi huu natafuta soko la muhongo mkavu mahali mzigo upo fukayosi bagamoyo mwenye kuhitaji ipo kama Tani 3
 
Habar za siku nyingi wadau wa uzi huu natafuta soko la muhongo mkavu mahali mzigo upo fukayosi bagamoyo mwenye kuhitaji ipo kama Tani 3
Mkuu nenda sokoni, ikibidi peleka bidhaa mwaga mzigo anza kuuza
 
mhogo mwaka huu tumepigwa. maeneo niliko wachuuzi wanaringa hali ya kuwa wananunua 100/= kwa kilo. yaani debe/ndoo ya lita 20 unajziwa kwa 1500 hadi 2,000.

sijui wale wakiowahi kusema China inahitaji tani 600,000 kwa matumizi ya kiwandanj walikuwa wanatania au supply imezidi demand!!!
 
Back
Top Bottom