Kwetu Iringa
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 355
- 88
Bei kwa gunia? Uko wapi? Mi nipo Dar
aina gani ya vitunguu? .... kama ni 'Red Bombay' soko lipo kenya ukipeleka tarakea rombo wananunua wafanyabiashara wa kenya
WAna JF habari za leo.
Muda wa mavuno ndio umekaribia sasa na kwasababu hiyo natafut soko la uhakika la vitunguu maji. Naomba kwa yeyote mwenye taarifa za wapi please nijulishe.
kwa sasa wakati unakaribia kuvuna jitahidi uandaae mazingira mazuri ya kuzihifadhi vitungu hivyo.na imani utakuja kupata soko zuri la wale wanaotoka komoro au kenya, siyo hao wa kariakoo na wa masokoni maana ni walaliaji sana
Asante sana ndugu. Nimeliwaza hilo pia tatizo namna ya kuhifadhi visiharibike kwa joto letu hili. Pia kama una idea ya namna ya kuhifadhi please assist.
Ndugu hiyo bei mbona ya zamani sana naomba uchunguze tena au wewe unaongelea bei ya wapi. Mimi nimelima SameSitaki nitie neno hapo,ni ushauri tu,kitunguu ya sahz cyo kuweka stoo niyakuuzia shambani bei ni sh 50alfu kwa sasa karibia maeneo yote,ukiweka stoo itakuwa imekula kwako.ningependa kujua umelimia wapi?
Ndugu hiyo bei mbona ya zamani sana naomba uchunguze tena au wewe unaongelea bei ya wapi. Mimi nimelima Same
Ingekuwa kusafirisha mpaka huko ni rahisi ingekuwa safi sana kwani faida yake ingekuwa ya kuridhisha sana. Mavuno yapo sana tatizo kubwa tulilonalo watanzania ni soko la uhakika kam ilivyo kwa wakenya wao wana uhakikawa kuuzaMkuu hapa zenji kilo 2500,piga hesabu gunia lako kilo ngapi na itakugharimu njuluku ngapi mpaka lifike!
Sitaki nitie neno hapo,ni ushauri tu,kitunguu ya sahz cyo kuweka stoo niyakuuzia shambani bei ni sh 50alfu kwa sasa karibia maeneo yote,ukiweka stoo itakuwa imekula kwako.ningependa kujua umelimia wapi?
Ndio piga hesabu mkuu tena hivi sasa ni ramadhani karibu ya sikukuu bei inaongezeka sana ,maana pilau na biriani inanyukwa kila upande!hata pilipili mboga 4000per kilo!carot 3500 per kiloIngekuwa kusafirisha mpaka huko ni rahisi ingekuwa safi sana kwani faida yake ingekuwa ya kuridhisha sana. Mavuno yapo sana tatizo kubwa tulilonalo watanzania ni soko la uhakika kam ilivyo kwa wakenya wao wana uhakikawa kuuza
Masoko ya Tanzania yote ni longolongo kila mahali utapeli na madalali. Dalali anafaidi kuliko hata mkulima ambaye amepoteza muda, Hela na nguvu zake mpaka kufikia kuvuna. Hilo ndio tatizo kubwa la tanzania. Laiti serikali ingejua kilimo kingeweza kuwaweka vijana wengi sana kwenye hali nzuri ya kipato na hata kuongeza pato la serikali kama kungekuwa na soko la uhakika.tatizo ni upate a good market.....
Masoko ya Tanzania yote ni longolongo kila mahali utapeli na madalali. Dalali anafaidi kuliko hata mkulima ambaye amepoteza muda, Hela na nguvu zake mpaka kufikia kuvuna. Hilo ndio tatizo kubwa la tanzania. Laiti serikali ingejua kilimo kingeweza kuwaweka vijana wengi sana kwenye hali nzuri ya kipato na hata kuongeza pato la serikali kama kungekuwa na soko la uhakika.