Livanga
JF-Expert Member
- Apr 15, 2010
- 469
- 148
Inaonekana watanzania walio wengi ni waoga wa kutafuta masoko hasa ya nje na ndio sababu wakulima wengi wanaumizwa na kuonewa na madalali. Kama wakulima wakielimishwa masoko ya nje yanalipa sana kikubwa ni elimu na kupata urahisi ni kuunda kampuni. Mpaka sasa ni wakenya tu walioweza kupenetrate na kinachouma wanapenentrate kwa kutumia mazao ya watanzania waliyoyapark vizuri na kulebo made in Kenya.
Watanzania tunahitaji kubadilika otherwise hatutatoka ng'o
Watanzania tunahitaji kubadilika otherwise hatutatoka ng'o