Soko la vitunguu kwa sasa

rmashauri

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
3,011
454
Wakuu natarajia kuanza kuvuna vitunguu mwishoni mwa mwezi huu. Vipi soko likoje Kwa sasa? Nani mwenye uzoefu wa kusafirisha kuja kuuza mijini mfano Dar es Salaam na kwingineko? Napanga kama bei ya shamba itakuwa ndogo sana nisafirishe.
 
Jamani hamna wafanyabiashara humu? Nataka niwaletee vitunguu hasa walioko Dar na Moro. hata kwingineko kama inalipa. Mfano Mbeya kuna kipindi gunia lilifika Tshs. 160,000 Kwa bei hiyo hata 120,000 nawaletea huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…