Soko la Tangawizi Mbichi

Soko la Tangawizi Mbichi

Joined
Sep 19, 2017
Posts
6
Reaction score
1
Wadau, ninauza tangawizi mbichi. Nimelimia Songea. Tafadhali naomba mtu ye yote mwenye taarifa ya soko anitaarifu hapa hapa kwenye forum.

Ahsanteni.
 
Mpeni Maelezo Jamaa Wapi Atauzia Tangawizi, Acheni Wehu!
 
Back
Top Bottom