Soko la sungura na uoakaji wa skonzi/mikate

goodfool

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
1,664
993
Wapenzi wana jf hamjambo?
Nimekuwa nikitamani kufanya biashara za kijasiria mali na mda mwingi mimetamani kujua haya kama mada tajwa hapo juu.

A. SOKO LA SUNGURA.
Hii inamaama kuwa nataka kufuga sungura kibiashara. Napata wapi soko la uhakika nikianza biashara hii. Nimekuwa nikisikia kuna kampuni linajihusisha na biashara hii, na lazima kununua begu kwao: sijaelewa vema, m@na naona kwenye YouTube. Pia gharama za ufugaji kwa namna walivyofafanua naona nikubwa sana.



Wafugaji wa sungura, maomba pia kujua kutoka kwao.

B: UOKAJI MIKATE/SCONS KIBIASHARA.
KITU KINACHONIKATISHA TAMAA
Nimekuwa nikitafuta makala za uokaji mikate au skonzi kibiashara YouTube za hapa bongo, ili nijifunze kwa watanznia wenzangu ila nimekosa.

Hata utengenezaji wa sabuni nimekuwa nikitaka kujifunza kaa video za hapa nyumbani huwa sipati (nazungumzia kwwnye source kubwa ka ma YouTube)
Na badala yake utaona za India, Us na Kenya.
Etc.

SHAUKU.
Natamani kuwa mtengenezaji msambazaji na muuzaji mdogo kwa ngazi y a kata, tarafa au wilaya mwenye vibali na ushindani katika biashara hii.

MSINGI.
Napenda kupunhuza gharama, huku nikilitatmini soko kwa kutumia vifaa kama majiko mbadala na yenye kutumia nishati ya za asili kam a kuni, mkaa, vimbi za mbao au pumba za mtama.

Wenye uzoefu wanijuze tafadhali asante.
Wasalaam MjingaMzuri.
 
Back
Top Bottom