Habarini wapendwa katika Bwana.
Nauliza kama kuna wanaofahamu soko lasamaki wadogo nchi 2, nachi 2¼ wakukaangwa namafuta yamawese pamoja nachumvi, Samaki wakutoka tabora ugala. Kama kuna anayefahamu soko lake morogoro na sehemu nyinginezo naomba anijuze.