DAKA MTUMBA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,288
- 805
Wadao naomba kujua jee soko la pink sapphire limekaaje?
Kuna sehemu inatoka jem ya pink sapphire.
Kuna sehemu inatoka jem ya pink sapphire.
Shukrani mkuu!Subiri waje
Habari yako wewe ndiyo unaweza kuzipata direct kutoka kwa wachimbaji au?market mimi nnayo ni pm # yako tuone Kama tunaweza kufanya kazi ....mm ntaku pm ya kwanguWadao naomba kujua jee soko la pink sapphire limekaaje?
Kuna sehemu inatoka jem ya pink sapphire.
Yes mkuu nazipata mwenyewe kutoka kwa wachimbaji.Habari yako wewe ndiyo unaweza kuzipata direct kutoka kwa wachimbaji au?market mimi nnayo ni pm # yako tuone Kama tunaweza kufanya kazi ....mm ntaku pm ya kwangu
Ova
Rough mkuuKiongozi, tayari ziko heated na kuchongwa au ni rough?