Soko la nguo kampala uganda

Calyx24

Senior Member
Jan 13, 2018
179
242
wakuu watu wengi huku tanzania hununua mzigo wa nguo uganda inawezekana kuna unafuu wa bei za nguo uganda kwaiyo kwa mliokuwa uko uganda naomba mnijuze bei za nguo za kiume kama tisheti,jinzi ambazo ni special
 
Bei ziko chini sana mkuu ukiwa na vimilioni vyako viwili si haba unafungasha mzigo wa maana ila tatizo ndugu zetu TRA pale border asee weka mbali na watoto.
 
mimi mara nyingi naenda kutembea..huwa nanunua nguo zangu za kuvaa mwenyew..unakuta Jeans inauzwa elfu 23 hadi 25 ya kiganda approximatelly elfu 15 ya kitanzania..T shrt pia unaweza pata kwa elfu 20 ya kiganda kama elfu 12 ya Tz..!! Ambazo wakileta huku unakuta tsht inauzwa elfu 15 hadi 20 ya ki tz, na jeans unapata kwa elfu 25 hadi 30 ya ki Tz
 
Bei ziko chini sana mkuu ukiwa na vimilioni vyako viwili si haba unafungasha mzigo wa maana ila tatizo ndugu zetu TRA pale border asee weka mbali na watoto.
itakuwa bora kam ukitaja na bei mkuu kam majeans Haya ya kawaida
 
mimi mara nyingi naenda kutembea..huwa nanunua nguo zangu za kuvaa mwenyew..unakuta Jeans inauzwa elfu 23 hadi 25 ya kiganda approximatelly elfu 15 ya kitanzania..T shrt pia unaweza pata kwa elfu 20 ya kiganda kama elfu 12 ya Tz..!! Ambazo wakileta huku unakuta tsht inauzwa elfu 18 hadi 20 ya ki tz, na jeans unapata kwa elfu 25 hadi 30 ya ki Tz
asante sana mkuu ila huwa unanunua katika masoko kama pale karume au tandika au huwa unanunua katika maduka ya kisasa kama kim classic wear
 
asante sana mkuu ila huwa unanunua katika masoko kama pale karume au tandika au huwa unanunua katika maduka ya kisasa kama kim classic wear
hapana sinunui nguo za kupangwa kwenye vibanda au zilizopo chini!! Unajua kampala kuna Malls zina gorofa na ni ndefu sana unaweza tembea humo na kuingia kwenye mall zingine..humo kuna maduka ya kisasa yanauza nguo za jumla na rejareja..!! Kampala huwezi linganisha na karume..kampala ina mwingiliano wa watu wengi wa mataifa mengi wapo pale kibiashara..So ni Busy City broo
 
images(1).jpg
images.jpg
 
wakuu watu wengi huku tanzania hununua mzigo wa nguo uganda inawezekana kuna unafuu wa bei za nguo uganda kwaiyo kwa mliokuwa uko uganda naomba mnijuze bei za nguo za kiume kama tisheti,jinzi ambazo ni special
Tanzania ipi unayoisemea, labda kama unamaanisha mikoa ya Kagera, Geita na Mwanza iliyo jirani na Uganda nitakuelewa, lakini kusema watu wengi wa Tanzania wakati kuna mikoa kama Mtwara, Lindi, Songea na mingine mingi iliyo mbali na mpaka wa Uganda wananunua nguo Uganda hainiingii akilini...
 
Back
Top Bottom