Habari wanajamvi naulizia soko au mkoa ambao naweza pata ngozi punda kwa ajili ya Biashara nataka idadi yyte nkikusanya nitapata tani nitakazo
Mawasiliano
0716561026
Mkuu punda hawaliwi mikoa mingi hapa nchini ndio maana ni ngumu kupata ngozi zake ,ila nadhani unaweza kujaribu kuulizia Singida maana nasikia wao ni kitoweo .Asante