Asante sana,na pia hongera kwa kuwa na tani nyingi sana za mihogo lakini kwa sasa kwa tafiti mbalimbali ambazo tumezifanya kama wataalamu wa kilimo biashara tumeona kwamba soko la mihogo limeshuka sana kwa Kasi nchini ko nakushauri usikimbilie kuziuza kwa maana utapata loss kubwa sana,ko kwa kukushauri ungeonana na wataalamu wakaribu au mimi mwenyewe au asasi mbalimbali tukaona Ni jinai gani yakuweza kukusaidia kutokana na demand ya mihogo kushuka, lakini supply yake kuongezeka
Ko unaweza uka jibackup kwa kufanya VALUE CHAIN ANALYSIS (kuongeza mnyoroeo thamani)katika mazao si tu mhogo pia hata mazao mengine ya biashara kama kahawa, korosho,mkonge,pamba, alizeti,na N.K ilikuweza kupata faida Zaidi pindi utakapouza muhongo wako.