Soko la mbuzi dar es salaam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Soko la mbuzi dar es salaam

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mtamanyali, Apr 11, 2012.

 1. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,093
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Habari zenu wana Jf, Jamani mwenzenu nataka nifanye biashara ya kuuza mbuzi kutoka mikoa ya kati kuja dar, wenye uzoefu naomba mnisaidie kufahamu soko la Mbuzi yaani bei yake kwa wastani pamoja na uzoefu wowote ambao mnaona utanisaidia. Nawasilisha.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280
  Soko la mbuzi lipo vingunguti kiembe mbuzi mbele ya tazara unaingia kulia,bei inategemea na size sema ina range from 40---80000/=
   
 3. M

  Malila JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,297
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  Njoo dar kama hauko Dar,kisha nenda Pugu mnadani kajionee mwenyewe, pita vingunguti ukajionee. Baada ya hapo anza mikakati hiyo.
   
 4. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,093
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  asante ndugu
   
 5. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,093
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  sawa ndugu ila kwa sasa nipo singida so nilikuwa nataka japo ABC kwanza ila lazima niende kuangalia
   
 6. M

  Malila JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,297
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  Nilikushauri uende Pugu mnadani ili ukaangalie mambo yafuatayo, mosi, mbuzi wako watashushwa wapi, mikononi mwa madalali au utakomaa mwenyewe? Wizi wa mifugo pale mnadani ni suala la pili, la tatu ni taratibu za usafirishaji mifugo unatakiwa uzijue ili kuepuka usumbufu.
   
 7. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,164
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Mkuu malila nakutafuta sana mkuu!
   
 8. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #8
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,093
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  JF ni zaidi ya shule! thanks ndugu, ubarikiwe sana
   
 9. Danp36

  Danp36 JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2014
  Joined: Jul 31, 2010
  Messages: 1,591
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  JF ni zaidi ya shule! thanks ndugu, ubarikiwe sana:dance:
   
Loading...