Oteakupigaje hela mbona haupo specific.
Biashara ya mboga mboga inaenda vizuri mno...wateja wameongezeka maradufu nadhani imechangiwa na haka kahali ka uchumi wa watu.
Kama wewe ni mkulima au mfanya biashara wa mboga mboga.. cabbage,sukuma wiki,Chinese nakadhalika...huu ndo mda wako wa kupiga hela kama wale wazee wa kubet...sijui wale vegetarian wameongezeka au ni lile somo la eat healthy limewakolea...
Kilimo cha mboga mboga ni kilimo cha umwagiliaji..ni mara chache sana ukute mtu analima mboga mboga kwa kutegemea mvua...mboga hazina msimu useme ulime mvua ikinyeshaAcha Kudanganya watu...... Watu waliolima Kuanzia Mwezi wa Tisa Na Wale tu wenye Green House si Wakulima wa Kawaida ndo Watafaidika
Wanaotegemea Mvua Hawana Chao ndo Maana Bei Juu
Yaaah Ila Wakulima wengi Hulima Kando kando Ya Vyanzo Vya Maji Ambavyo Kwa Sasa Havipitishi Maji kwa Sababu Mvua Hakuna Ndo Maana Unaona Mboga Zipo JuuKilimo cha mboga mboga ni kilimo cha umwagiliaji..ni mara chache sana ukute mtu analima mboga mboga kwa kutegemea mvua...mboga hazina msimu useme ulime mvua ikinyesha