Soko la Mahindi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Soko la Mahindi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mutensa, Jun 21, 2011.

 1. Mutensa

  Mutensa JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 426
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wakubwa,
  Nina mahindi tani kadhaa za kuvuna msimu huu. Niko mkoa wa pwani. Naomba kujua soko zuri liko wapi na lini (mwezi gani). Je gunia moja la mahindi sh. ngapi kwa sasa?
  Kama unahitaji mahindi, unaweza kuni-pm tunaongea.
   
 2. m

  mtinangi5 Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yahifadhi vizuri mpaka mwezi Januari 2012 utapata bei mara mbili ya sasa.
  Kama unaweza leta Arusha bei ya kilo moja sasa ni shs 500.
   
 3. Rocket

  Rocket Senior Member

  #3
  Jun 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu unazo kama Ton ngapi!!!!!unaweza kuni-pm
   
Loading...