Soko la mahindi natafuta

Mpwa hongera sana il ahebu ongeza taarifa za tangazo lako, sio wote watakua tayari kukupigia lakini kwa kuweka sawa tangazo lako ni wengin wanaweza kulisoma....nakushauri.
 
Mpwa hongera sana il ahebu ongeza taarifa za tangazo lako, sio wote watakua tayari kukupigia lakini kwa kuweka sawa tangazo lako ni wengin wanaweza kulisoma....nakushauri.
asante kwa ushauri ila kwa ufupi mm ninayo mahindi kwahiyo nilikuwa natafuta watu ambao nitakuwa nafanya nao biashara ya kuwauzi haya mahindi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...naona biashara imefanyika tayari,ila muuzaji hakututendea haki kuficha hata bei angalizi ya mahindi yake
 
Biashara haijafanyika bado. Tunajadiliana. Free market anyone can privately send a msg to the seller for prices and other details.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…