K kapuchi JF-Expert Member Joined Oct 8, 2008 Posts 268 Reaction score 164 Nov 18, 2021 #1 Wadau nililima mahindi Kiteto nimejaliwa kupata gunia km 100 natafuta soko nchi ya jirani Kenya. Mwenye kuweza kuniunganisha nikauze mazao yangu anipe mwelekeo
Wadau nililima mahindi Kiteto nimejaliwa kupata gunia km 100 natafuta soko nchi ya jirani Kenya. Mwenye kuweza kuniunganisha nikauze mazao yangu anipe mwelekeo
Kinkunti El Perdedo JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 5,537 Reaction score 13,847 Nov 18, 2021 #2 Nenda Chato international airport kuna soko safi sana mkuu'alisikika mlevi mmoja akisema
Mkaruka JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 19,933 Reaction score 34,913 Nov 18, 2021 #3 Ulilima eka ngapi?
Dumile Member Joined Feb 17, 2021 Posts 22 Reaction score 46 Nov 18, 2021 #4 kapuchi said: Wadau nililima mahindi Kiteto nimejaliwa kupata gunia km 100 natafuta soko nchi ya jirani Kenya. Mwenye kuweza kuniunganisha nikauze mazao yangu anipe mwelekeo Click to expand... Unauza bei ngapi?
kapuchi said: Wadau nililima mahindi Kiteto nimejaliwa kupata gunia km 100 natafuta soko nchi ya jirani Kenya. Mwenye kuweza kuniunganisha nikauze mazao yangu anipe mwelekeo Click to expand... Unauza bei ngapi?
Tony254 JF-Expert Member Joined May 11, 2017 Posts 16,016 Reaction score 16,433 Nov 18, 2021 #5 kapuchi said: Wadau nililima mahindi Kiteto nimejaliwa kupata gunia km 100 natafuta soko nchi ya jirani Kenya. Mwenye kuweza kuniunganisha nikauze mazao yangu anipe mwelekeo Click to expand... Unauza pesa ngapi gunia moja, tuanzie hapo kwanza. Na ni gunia ya 50 kg?
kapuchi said: Wadau nililima mahindi Kiteto nimejaliwa kupata gunia km 100 natafuta soko nchi ya jirani Kenya. Mwenye kuweza kuniunganisha nikauze mazao yangu anipe mwelekeo Click to expand... Unauza pesa ngapi gunia moja, tuanzie hapo kwanza. Na ni gunia ya 50 kg?
President of China JF-Expert Member Joined Dec 6, 2018 Posts 31,772 Reaction score 89,799 Nov 18, 2021 #6 kapuchi said: Wadau nililima mahindi Kiteto nimejaliwa kupata gunia km 100 natafuta soko nchi ya jirani Kenya. Mwenye kuweza kuniunganisha nikauze mazao yangu anipe mwelekeo Click to expand... Magunia km 100. Sijawahi kusikia
kapuchi said: Wadau nililima mahindi Kiteto nimejaliwa kupata gunia km 100 natafuta soko nchi ya jirani Kenya. Mwenye kuweza kuniunganisha nikauze mazao yangu anipe mwelekeo Click to expand... Magunia km 100. Sijawahi kusikia
YoungD JF-Expert Member Joined Dec 27, 2016 Posts 1,275 Reaction score 1,332 Nov 18, 2021 #7 yaani unalima bila kujua utayauza wapi mazao yako??
R Richard spencer JF-Expert Member Joined Feb 22, 2021 Posts 1,301 Reaction score 2,126 Nov 18, 2021 #8 YoungD said: yaani unalima bila kujua utayauza wapi mazao yako?? Click to expand... Wasomi mna shida sana
YoungD said: yaani unalima bila kujua utayauza wapi mazao yako?? Click to expand... Wasomi mna shida sana
Azathioprine JF-Expert Member Joined Sep 16, 2013 Posts 588 Reaction score 379 Nov 18, 2021 #9 Richard spencer said: Wasomi mna shida sana Click to expand... Hakuna msomi hapo mkuu. amekaririshwa nadharia tu.
Richard spencer said: Wasomi mna shida sana Click to expand... Hakuna msomi hapo mkuu. amekaririshwa nadharia tu.
Tony254 JF-Expert Member Joined May 11, 2017 Posts 16,016 Reaction score 16,433 Nov 18, 2021 #10 Tajeni bei ya gunia ya mahindi mnayouza. Sio kuleta umbea hapa.
chrome JF-Expert Member Joined Oct 10, 2011 Posts 401 Reaction score 426 Nov 18, 2021 #11 kapuchi said: Wadau nililima mahindi Kiteto nimejaliwa kupata gunia km 100 natafuta soko nchi ya jirani Kenya. Mwenye kuweza kuniunganisha nikauze mazao yangu anipe mwelekeo Click to expand... Njoo namanga hapa faster tuu yanaisha
kapuchi said: Wadau nililima mahindi Kiteto nimejaliwa kupata gunia km 100 natafuta soko nchi ya jirani Kenya. Mwenye kuweza kuniunganisha nikauze mazao yangu anipe mwelekeo Click to expand... Njoo namanga hapa faster tuu yanaisha
Samcezar JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 13,093 Reaction score 22,806 Nov 18, 2021 #12 Venus Star said: Magunia km 100. Sijawahi kusikia Click to expand... Wewe nae kama kuna mambo haufahamu uwe unauliza kwanza. Sasa wakulima huwa wanadili na gunia za kilo ngapi kwa akili yako.
Venus Star said: Magunia km 100. Sijawahi kusikia Click to expand... Wewe nae kama kuna mambo haufahamu uwe unauliza kwanza. Sasa wakulima huwa wanadili na gunia za kilo ngapi kwa akili yako.
chongchung JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 14,316 Reaction score 45,125 Nov 18, 2021 #13 Hizo gunia chache sana kiongozi, kibaigwa zipo gari za Zimbabwe na South Sudan zinasomba mzigo kwa kasi ya kimbunga kama upo serious nione chamber
Hizo gunia chache sana kiongozi, kibaigwa zipo gari za Zimbabwe na South Sudan zinasomba mzigo kwa kasi ya kimbunga kama upo serious nione chamber
T T-money Member Joined Nov 1, 2010 Posts 22 Reaction score 10 Nov 19, 2021 #14 kapuchi said: Wadau nililima mahindi Kiteto nimejaliwa kupata gunia km 100 natafuta soko nchi ya jirani Kenya. Mwenye kuweza kuniunganisha nikauze mazao yangu anipe mwelekeo Click to expand... Kwanini unauza Sasa kwa bei ya hasara...ukame ndio umeshaingia njaa yaja..Mahindi yatafika sh. 100,000 kwa gunia hivi karibuni...wakulima wamwshindwa kulima mwaka huu...kuwa na subira
kapuchi said: Wadau nililima mahindi Kiteto nimejaliwa kupata gunia km 100 natafuta soko nchi ya jirani Kenya. Mwenye kuweza kuniunganisha nikauze mazao yangu anipe mwelekeo Click to expand... Kwanini unauza Sasa kwa bei ya hasara...ukame ndio umeshaingia njaa yaja..Mahindi yatafika sh. 100,000 kwa gunia hivi karibuni...wakulima wamwshindwa kulima mwaka huu...kuwa na subira
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,469 Nov 19, 2021 #15 Hongera