Soko la kuku

YUDITHA

Senior Member
Joined
May 5, 2013
Posts
154
Reaction score
28
Naomba mniambie wapi naweza kupata soko la kuku la uhakika nina mzigo wa kutosha .

nina shida na pesa naomba msaada wenu mnieleze soko nikauze. niko mlandizi kibaha
0753359245
 
Ni aina gani ya kuku, na bei gan?
 
Yani wananikera hawa watu wa namna hii.Nauza hichi no bei no picha.Au mnataka tuwe mashekh Yahaya tutabiri kila kitu
 
Jifunzeni kutengeneza matangazo yanayoeleweka.yuditha weka details za kutosha ile watu waelewe.
 
Toa data za kutosha bibie....watu wanataka mzigo huo....weka picha,taja bei,aina ya kuku na unao kiasi gani yaani tupe idadi kamili...hivi vitu kama hivi ni lazima ufundishwe darasani eeh?..ok darasa la JF limeshakufundisha,toa majibu ya hayo Maswali hapo juu tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…