Soko la kuku na ngururuwe Morogoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Soko la kuku na ngururuwe Morogoro

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by 1800, Oct 26, 2011.

 1. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Wadau naomba kujua uhakika wa soko la kuku wa kienyeji na nguruwe mkoani Morogoro,nina mpango wa kuanza ufugaji huo katika tarafa ya Dumila,ila sijawa na uhakika sana wa soko lake mkoani humo,yoyote mwenye uhakika naomba anihuze tafadhali,asanteni
   
 2. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,438
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Huna haja ya kuuza Morogoro tu, kuku na nguruwe ni "hot cake" Dar es Salaam hasa kuku wa kienyeji.
   
 3. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Fuga huko soko liko Darisalamu
   
 4. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Asante mkuu.
   
 5. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Haya mkuu,nashukuru kwa ushauri
   
Loading...