Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,827
- 1,313
Wadau natafuta taarifa za soko la kimataifa kwa mbegu za Alizeti (Sunflower seeds) ama kitaalamu Helianthus annuus naomba mwenye kujua haya atushirikishe.
hope kina malila wapo around wanaweza kuwa na info hapa