The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,805
Hii tred ya kuunguza masoko bado haijaisha tu?
Naambiwa soko la Karume limeungua lote na hakuna kilichobaki...
Na wanakomeshwa kweli.Duh kila Zama na kitabu Chake! Zama hizi ni kuwakomesha masikini.
Kariakoo, Mwenge, Karume. Haya bana tusubiri ripoti kutoka tume ya uchunguzi halafu maisha mengine yaendelee.
Mumlaumu JPM kwa kumweka mama kuwa makamu wa rais na Rais Mtarajiwa. Kama mlimheshimu JPM.. Mheshimuni na Mama pia. Ni chaguo la kipenzi chenu JPM. Kaeni kimya kabisa sababu hapa tulipo ni MAKOSA YA JPM tokea awali.. kila kitu cha nchi hii KILICHOVURUGIKA NA KINACHOVURUGIKA NI SABABU YA JPM aka MwendazakeDuh kila Zama na kitabu Chake! Zama hizi ni kuwakomesha masikini.