Soko la dagaa wabichi waliokaangwa linapatikana wapi?

Maeneo ya JPM branch, ungejinganya leo ungepiga pesa!
Otherwise wasafirishe Dar, dodoma au tafuta vijana waaminifu wazungushe kwa mama ntilie na majumbani, I think this will help!
 
Nitafute Kwa Namba Hizi Tuyajenge Niko Morogoro Uaminifu Ndiyo Msingi Ukinizingua Niko Kama Kagame Hata Uko Ufaransa Nakufuata 0677831125 NA 0753212292 nitafute tufanye kazi kijana
 
Wewe Mleta Mada Hebu Kuwa Siriazi Na Unachokifanya Nicheki Kwa Namba Hizo Tufanye Biashara
 
Chato pa kawaida.!!??? Jiangalie sana na ww usije tekwa kwa maneno hayo. Chato ni Jiji kubwa kwa sasa hakuna raia wa Tanzania asie Ijua Chato kwa sasa.

Itakuwa leo kuna foleni kubwa sana ya punda pale kwenye mataa kuelekea Shinyanga.
mjr95 sasa kama katekwa mbona chato pa kawaida tu kashaniboa sana nilipoona tangazo nikajua nimepata wepesi wa kuagiza mzigo nashangaa mtu kakaa kimya au yuko foleni na punda pale traffic light
 
Chato Gani Ni Jiji Hii Ya Anko Au Kuna Nyingine Halafu Waniteke Mimi Nina Impact Gani Kwa Siasa Ya Nchi Au Utawala Huu Si Unaona Wanapopoana Wenyewe Kwa Wenyewe Wanajifanya Wana Uchungu Na Watanzania
 
Chato Gani Ni Jiji Hii Ya Anko Au Kuna Nyingine Halafu Waniteke Mimi Nina Impact Gani Kwa Siasa Ya Nchi Au Utawala Huu Si Unaona Wanapopoana Wenyewe Kwa Wenyewe Wanajifanya Wana Uchungu Na Watanzania
Usiogope,
Amani tele
 
Bei ni maelewano,
Ila ni ya kawaida sana kwa kuwa nko kiwandani mwenyewe. Krbn.
 
Back
Top Bottom