Soko la dagaa nyasa Dar es salaam

Soko la dagaa nyasa Dar es salaam

Professional Trader

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2016
Posts
1,220
Reaction score
1,122
Waungwana kama kichwa cha habari kilivyo jieleza apo juu nilikua natafuta soko la dagaa Nyasa la jumla kwa apa dar na kama kuna mtu atakua anawaitaji kwa wingi ani PM tuongee vizuri ili tufanye business
 
Mkuu
Hevi dagaa wa nyasa ni tofauti na wale wa mwanza?
 
Back
Top Bottom