CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,951
- 9,509
Wakulima na wafugaji Mambo vipi!
Nina plan za kufuga bata wa kienyeji aina ya Muscovy, nataka kufuga kibiashara zaidi, kuanzia mwezi ujao nataka niwe nimeshaanza project hii.
Sasa naomba tupeane uzoefu kutoka kwa wafugaji hasa kuhusu SOKO la hawa bata..
Mimi nipo dsm kimara.
View attachment 1195506
View attachment 1195507
[emoji115][emoji115] aina hiyo ya bata.
Karibuni.
Mi natafuta bata wa MAZIWA
We fuga wakiwa wengi tangaza nyama yao inaongeza nguvu za kiume utaunza balaaaa manake wabongo tunaenda kwa matukio walikuja watu na mayai ya kwale wakapiga hela hela wakaja wa nyama ya punda wakapiga hela wakaja wa mafuta ya ubuyu bia wakapiga hela so mkuu jipange vizuri kwa propaganda tu utawauza balaaa
Boss hao Pekin na Khak wanapatikana wapi hapa Tz?Muu fuga Bata wa Nyama Pekin na Bata wa Mayai Khak campbell hawa wa mayaumi wanataga mayai hadi 360 kwa mwaka na hawa wa nyama wana mature wiki 8 ukiwalisha chakula cha Broiler.
Hao wakienyeji wanasumbua sana ukuaji wake.
Kinachoongeza nguvu za kiume ni makanyagio ya kitimoto. Piga kanyigio la kuchemsha na supu yake kwa siku tatu, utashngaaWe fuga wakiwa wengi tangaza nyama yao inaongeza nguvu za kiume utaunza balaaaa manake wabongo tunaenda kwa matukio walikuja watu na mayai ya kwale wakapiga hela hela wakaja wa nyama ya punda wakapiga hela wakaja wa mafuta ya ubuyu bia wakapiga hela so mkuu jipange vizuri kwa propaganda tu utawauza balaaa
Hili swali halijapatiwa jibu bado.Boss hao Pekin na Khak wanapatikana wapi hapa Tz?
Kinachoongeza nguvu za kiume ni makanyagio ya kitimoto. Piga kanyigio la kuchemsha na supu yake kwa siku tatu, utashngaa
Comrade nami nahitaji vifaranga wa hao bataHivyo vifaranga sio vyangu, ila ndio nategemea kuwanunua hao, wakuanza nao.. ofcourse yeye anatotolesha mayai.
Sasa ivi ni shia seeds ndo ina trend.We fuga wakiwa wengi tangaza nyama yao inaongeza nguvu za kiume utaunza balaaaa manake wabongo tunaenda kwa matukio walikuja watu na mayai ya kwale wakapiga hela hela wakaja wa nyama ya punda wakapiga hela wakaja wa mafuta ya ubuyu bia wakapiga hela so mkuu jipange vizuri kwa propaganda tu utawauza balaaa
ha ha ha ha ha ha kuna mtu nilimuona anakunywa nikamshangaa sana wanaambiwa sijui ukila huzeeki mara sijui zinaongeza nyege mara ooo tiba ya kila ugonjwa mara zinatoa sumu mwilini ha ha ha ha ha jamaa wanawapiga hela hatariSasa ivi ni shia seeds ndo ina trend.