Soko la ajira

Soko la ajira

Status
Not open for further replies.

bajok

Senior Member
Joined
Jun 6, 2016
Posts
161
Reaction score
72
wakuu pengine hiyo heading haijakaa vizuri lakini kikubwa ni kwamba naomba kujuzwa juu ya maamuzi yangu ya kuchagua course ya agriculture in general ili nikaisome diploma .... nimemaliza form six mwaka huu nikapata div. III sasa vipi jaman hiyo course ina ajira za kueleweka au nifanye maamuzi gani mengine???? nilikuwa science CBG

** Natanguliza shukrani**
 
pole sana Bajok kuna thread yako uliwah kuitoa mwez June kabla ya matokeo ya form six.....agriculture in general kwa diploma sina uhakika kama ni nzuri lakn kama ulifanya physics O level nakushauri uombe sekta ya Afya kuna course kibao zinalipa
 
Omba Nursing,,CO(clinical officers),,education
Agriculture ili uajiriwe utasota sana may be km unandoto za kuwa mkulima wa kisasa
 
kilimo miyeyusho yaan unategemea mvua halaf hata kitaa hauheshimiki.......wale wenye certificate ya nursing wanaogopwa kuliko wewe mwenye diploma ya kilimo
 
Unaweza kuwa Nurse na ukafanya na kilimo pia maana ajira zao zinapagwa na serikali tena ukipata huko mikoani hakuna hata doctor ww ndio utakuwa mganga mkuu na diploma yako
 
pole sana Bajok kuna thread yako uliwah kuitoa mwez June kabla ya matokeo ya form six.....agriculture in general kwa diploma sina uhakika kama ni nzuri lakn kama ulifanya physics O level nakushauri uombe sekta ya Afya kuna course kibao zinalipa
asante sodoka nimesoma physics ila tatizo langu ni kwamba mim course za afya sizipendelei sana kwa kweli ndio maana nilifikiria agriculture labda kama kuna course nyngne nzuri out of health issues unishaur pliz
 
Unaweza kuwa Nurse na ukafanya na kilimo pia maana ajira zao zinapagwa na serikali tena ukipata huko mikoani hakuna hata doctor ww ndio utakuwa mganga mkuu na diploma yako
sawa mkuu
 
sawa mkuu
Dogo angalia maslahi unaweza ukipenda kazi naukafa maskini wake up boy wahi kabla nacte hawajafunga apply coz za afya au techinical colleges kama ulifaulu phys O level
 
Mmhh!! hapa kazi ipo hyo agriculture ajira za diploma ziliwepo kipindi flani bt now cna uhakika
 
Dogo angalia maslahi unaweza ukipenda kazi naukafa maskini wake up boy wahi kabla nacte hawajafunga apply coz za afya au techinical colleges kama ulifaulu phys O level
sawa kiongoz nimekuelewa
 
asante sodoka nimesoma physics ila tatizo langu ni kwamba mim course za afya sizipendelei sana kwa kweli ndio maana nilifikiria agriculture labda kama kuna course nyngne nzuri out of health issues unishaur pliz
Mnaboa sana vijana, unakuja kuomba ushauri nini usomee kutokana na ufaulu na masomo ulio some, mbaya zaidi ukishauriwa analeta ujuaji kwa kujifanya kuchagua huku mkiendekeza mahaba kwa kile mnacho amini kwamba mnakipenda hata kama haki lipi.
Minaona hapakua na ulazima wa kuomba ushauri hapa ikiwa unaonyesha wazi kwamba umesha fanya uchaguzi wako tayari.
 
sawa kiongoz nimekuelewa
Acheni kukariri na hizo kozi za kila siku, Afya, Ualimu sijui nini...Ingia sekta za madini

Omba Diploma in Mineral Processing au Petroleum Geology ukiweza pia Exploration and Mining Geology.
 
Mnaboa sana vijana, unakuja kuomba ushauri nini usomee kutokana na ufaulu na masomo ulio some, mbaya zaidi ukishauriwa analeta ujuaji kwa kujifanya kuchagua huku mkiendekeza mahaba kwa kile mnacho amini kwamba mnakipenda hata kama haki lipi.
Minaona hapakua na ulazima wa kuomba ushauri hapa ikiwa unaonyesha wazi kwamba umesha fanya uchaguzi wako tayari.
ni ukweli niliomba agriculture ila nimeona nacte wametoa nafasi za kufanya maombi kwa awamu nyingine ndio maana nikaona niombe ushauri ili ikibidi nibadilishe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom