Mdogo wangu kugraduate 2013 Ajira haipo kabisaWaungwana naomba kufahamu upana wa nafasi za ajira kwa aliyesoma course ya geography and environment studies kwa Tanzania na Africa mashariki.
Hajajichanganya, anaweza jisajiri NEMC akawa anafanya kazi binafsi za EIA, audt n.k, ni una hela usipobwetekaMdogo wangu kugraduate 2013 Ajira haipo kabisa
HAKUNA AJIRA. Na unapotaka kwenda chuo kikuu nenda na kiu ya kupata elimu ya ndoto zako tu sio matumaini ya kuajiriwa ukimaliza shahada. Jiandae kwa yote.Waungwana naomba kufahamu upana wa nafasi za ajira kwa aliyesoma course ya geography and environment studies kwa Tanzania na Africa mashariki.