Kupuuzwa kwa fani ya maendeleo ya jamii kwenye ajira zifuatazo litizamwe vizuri

Superleta

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
466
538
Mtu aliyesoma Community development hizi course zote kazisoma ndani yake Community development ndo inameza masomo yote yanayohusu social issues na development issues kama ifuatavyo.
-Social welfare
-Social work
-Sociology
-psychology
-Guidance and counseling
-Economics
-Development studies
-Gender issues
-Social development
-Behavioural change
-philosophy
-Human resource
-Monitoring and evaluation
-Project planning and management
-Adult education
-Early childhood
-Public admnistration
-Human rights

Sasa unakuta kazi zinatangazwa serikalini au kwenye taasis za umma wanataja course zote hizo lakini mtu wa maendeleo akiomba anakataliwa wakati maendeleo ndo course mama wa course zote hizo
 
Kwanini mtu wa sociology anapewa kipaumbele kuliko mtu wa maendeleo ya jamii?
Mtu aliyesoma Community development hizi course zote kazisoma ndani yake Community development ndo inameza masomo yote yanayohusu social issues na development issues kama ifuatavyo.
-Social welfare
-Social work
-Sociology
-psychology
-Guidance and counseling
-Economics
-Development studies
-Gender issues
-Social development
-Behavioural change
-philosophy
-Human resource
-Monitoring and evaluation
-Project planning and management

Sasa unakuta kazi zinatangazwa serikalini au kwenye taasis za umma wanataja course zote hizo lakini mtu wa maendeleo akiomba anakataliwa wakati maendeleo ndo course mama wa course zote hizo
 
Aisee sijui uwa wazingatiaga Nini nafikiri ni kuwapa vipaombele TU wenye title ya program Fulani.
Kwa mfano Kuna hizi degree program zenye title za education lakini wanasoma vitu vingi Sana almost hivi vyote ulivyovitaja kama wanagusa;-
-psychology
-Guidance and counseling
-Economics
-Development studies
-Gender issues
-Social development
-Behavioural change
-philosophy
-Human resource
-Monitoring and evaluation
-Project planning and management.
Lakini kwenye ajira hizo za maendeleo ya jamii awagusi isipokuwa hao wa Adec TU ndo wameanza kuzingatiwa wengine hapana
 
Attachments

  • Screenshot_20240302-151528.jpg
    Screenshot_20240302-151528.jpg
    70.1 KB · Views: 5
sijui wataka watu gani nimeahi ona post ina development studies lakini nakataliwa kuapply naambiwa nisome vigezo jamaa wanazingua sijawahi ona faida ya ajira portal kwan mwezi mzima unaangalia hamna jipya kozi zote zinasoma 0
 
Aisee sijui uwa wazingatiaga Nini nafikiri ni kuwapa vipaombele TU wenye title ya program Fulani.
Kwa mfano Kuna hizi degree program zenye title za education lakini wanasoma vitu vingi Sana almost hivi vyote ulivyovitaja kama wanagusa;-
-psychology
-Guidance and counseling
-Economics
-Development studies
-Gender issues
-Social development
-Behavioural change
-philosophy
-Human resource
-Monitoring and evaluation
-Project planning and management.
Lakini kwenye ajira hizo za maendeleo ya jamii awagusi isipokuwa hao wa Adec TU ndo wameanza kuzingatiwa wengine hapana
Hizo zote ni course moja mfanano sema waajiri sijui wanakwama wapi
 
Kwanini mtu wa sociology anapewa kipaumbele kuliko mtu wa maendeleo ya jamii?
Mtu aliyesoma Community development hizi course zote kazisoma ndani yake Community development ndo inameza masomo yote yanayohusu social issues na development issues kama ifuatavyo.
-Social welfare
-Social work
-Sociology
-psychology
-Guidance and counseling
-Economics
-Development studies
-Gender issues
-Social development
-Behavioural change
-philosophy
-Human resource
-Monitoring and evaluation
-Project planning and management

Sasa unakuta kazi zinatangazwa serikalini au kwenye taasis za umma wanataja course zote hizo lakini mtu wa maendeleo akiomba anakataliwa wakati maendeleo ndo course mama wa course zote hizo
Jiongeze ulichosomea hakina soko. Jifunze ufundi seremala, plumbing au umeme. Ukimaliza piga kazi upate mafundi wenzako waaminifu. Then nenda katika site kubwa uombe kuuziwa kazi. Utapiga hela mpaka utachanganyikiwa.
 
Ukiachana na hizo course kuwa na utata bado watu walisoma hizo course hawana mchango chanya katika kuisaidia jamii .

Jamii inasumbuliwa na matatizo mengi Sana ,kuanzia mahusiano ya MTU na MTU , Elimu ya PESA , uhaba wa mitazomo duni kuamini katika ushirikina n.k
 
na Lishe duni
 
Back
Top Bottom