Wabongo mna safari ndefu sana za kufahamu matumizi ya fursa...
Thread yako umezungumzia suala la soko na projects haidhuru hata kama umeuliza hao unaoita watalaamu!
Hata hivyo, kumbuka wapo watu ambao sio watalaamu ambao wanaweza kuhitaji service husika lakini wakashindwa kukufikia kwa sababu tu umetumia technical jargons! Mbaya zaidi, unaleta lugha za hovyo kwa wanaojaribu kuhoji tena kwa nia njema kabisa!!!