Soka: weekend hii ulicheka au ulinuna??

Soka: weekend hii ulicheka au ulinuna??

Tisha-TOTO

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2010
Posts
1,175
Reaction score
604
Mimi mwenzenu wikiendi ya soka ilikuwa ni kicheko tu....

1) Yanga 1 Toto 0 (chachandu yake Azam 1 Polisi 1)

2) Liverpool 3 T Spurs 2 (within 7 pts kuingia kwenye top 4)

3) Suarez aliextend EPL season goal tally yake kufikia 22, kamuacha van Persie ambaye hadi sasa hajascore kwenye mechi kadhaa!

4) Messi aliandika milestone nyingine kwa kuvunja rekodi iliyodumu zaidi ya miaka 80......amefunga goli kwenye mechi 17 on the trot. Madness!

5) A light touch on soccer-politics.........Simba bila CCM (Rage) wanaweza!

Wewe ulicheka, ulinuna? Kwa lipi?
 
Dah aise nilcheka balaa lovepool kama kawa!
 
nimefurahi kwa barca 2-0 diportivo ila real madrid kaja wa 2 kutokana na kufungwa kwa athletico madrid now
barca 71pts r.madrid 58 na ath.madrid 57
 
Mimi mwenzenu wikiendi ya soka ilikuwa ni kicheko tu....

1) Yanga 1 Toto 0 (chachandu yake Azam 1 Polisi 1)

2) Liverpool 3 T Spurs 2 (within 7 pts kuingia kwenye top 4)

3) Suarez aliextend EPL season goal tally yake kufikia 22, kamuacha van Persie ambaye hadi sasa hajascore kwenye mechi kadhaa!

4) Messi aliandika milestone nyingine kwa kuvunja rekodi iliyodumu zaidi ya miaka 80......amefunga goli kwenye mechi 17 on the trot. Madness!

5) A light touch on soccer-politics.........Simba bila CCM (Rage) wanaweza!

Wewe ulicheka, ulinuna? Kwa lipi?

nifurahi sana city tumeuwa 5 na azam b kutoa sare..
 
Tisho toto tupo pamoja Liverpool and Yanga safi sana ilikuwa wkend nzuri sana
 
Dah mm nilifurahi ajabu yanga kama kawa wamenipa raha alf mournh na r.madrid yake wakazidi kunipa raha bs daaaaah kwa raha zangu wadau......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom