Tisha-TOTO
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 1,175
- 604
MODS sijui kwa nini mliiondoa post yangu ya awali. Kama tunapiga kelele juu ya freedom of expression humu jamvini lakini tunashindwa kuipractise (failing to walk the talk), hiyo ni double standard na forum hii mtakuwa mnaishushia hadhi.
=========================================================================
Mimi wikiendi yangu ilikuwa ni kicheko tu....
1) Liverpool 3 H Spurs 2 (only 7 points off the top 4 bracket). Big up Brendan Rodgers!
2) Suarez alifunga goli la 22 kwenye EPL msimu huu (chachandu: van Persie bado anapiga mark time kwenye mabao 19 na hajafunga kwa mechi 6)
3) Yanga 1 Toto 0 (chachandu: Azam 1 Polisi 1)
4) Soccer-politics......Simba iliyo imara inawezekana bila ya CCM (Rage)!!
Wewe weekend ulicheka, ulinuna??