Soka la bongo na matajiri wake

fathergetho

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
1,552
908
IMG_20160804_051216.jpg
 
Apewe timu maana hakuna namna nyingine ya kuinua soka letu
kwani akipewa timu ndio itakuwa suruhisho la wana yanga kuinuka kiuchumi na kumiliki uwanja wao,pia je soka la kiushindani nje ya nchi utaonekana,ila tutaona mkuu yote ya yote tumuachie mola atende kazi ktk soka letu,maana siasa chali,ndondi chali,elimu pia chali,.......ila sasa ukizungumzia mapenzi tupo perfect sana na kama kungekuna mashindano yake naamini ndio mchezo ambao tungemudu na tungekuwa na medani nyingi sana........na declare interest mi mwana yanga pure
 
Inaweza kuwa mbinu ya kuua sinema ya Simba. Jamaa anatangaza billion 50 kwa hisa asilimia 40 tofauti na Mo asilimia 51 kwa billion 20.

Watazuka baadhi ya wana Simba na kusema hela ya Mo ni kiduchu aongeze dau. Mwishowe anajiondoa lakini wanakuja kukugundua wala hakuna mtu wa kutoa billion 50 Yanga. Too late.
 
hivi ndio taswira ya vilabu vingine bongo
 
Back
Top Bottom