Sogea Tukae: Ndoa ya 'mchongo' inayoua ndoa halisi

Habari wakuu,

Husika na kichwa tajwa,

Sogea tukae ni aina ya ndoa za mchongo ambazo wanawake wamezitaka.

Wamezitaka wanawake kwakuwa wamejisogeza kwa wanaume bila kusubiri wakati wa wao kufunga ndoa halisi.

Ndoa hii ya mchongo imehalalisha zinaa, wanaume wanakula tunda kiulaini bila kupata shida na ndio maana wanamkataa ndoa na kuita ni utapeli.

Hii ndoa ya mchongo ya sogea tukae imepelekea wanawake kuwa single mama.

Ajabu wakishawazalisha wanawasema vibaya na wanasema hawawaoi.

Ndio maana watoto wasio na walezi wawili wamekuwa wakiongezeka huko mitaani.

Ni kwa kuwa wanaume wakishawazoea na kuwatumia huwachoka na kutafuta wanawake wapya na kuwaoa..

Nasema wanawake wamezitaka sababu ni kiherehere chao tu kimewapeleka kwa wanaume bila kufunga ndoa halisi ya kanisani na msikitini.

Wanaume wao wanaona kwao ni sawa tu maana umejipeleka mwenyewe kwao.

Hii imepelekea wanaume kuona kua ndoa halisi ya kanisani na msikitini haina maana wanaona tayari wameoa ilihali hawjaoa.

Imefanya wanaume kukataa ndoa na kuoana ni utapeli pia sababu imekuwa ni rahisi tu maana ukimwambia mwanamke njoo tuishi anakuja anahamia..

Sogea tukae imeharibu maana nzima ya ndoa halisi za kanisani na msikitini.

Pia imefanya wanaume wasiome umuhimu wa kufunga ndoa kanisani na msikitini.

Sogea tukae ni zinaa, kataa sogea tukae kataa utapeli..
Halafu nikwambie tu mkuu wasogea tukae ndio wanadumu muda mrefu sana kuliko wanao funga ndoa.
 
Hamna namna.

Ndoa zenyewe siku hizi ni kuviziana tu.

Ndoa ya kifahari. Baada ya wiki 3 kesi Kwa Mtendaji wa Kijiji
Sikuhizi ndoa azidumu ikienda sana ni miaka miwili ila sogea tukae watu wanaishi hadi wanazaa watoto wanakuwa wakubwa
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa tajwa,

Sogea tukae ni aina ya ndoa za mchongo ambazo wanawake wamezitaka.

Wamezitaka wanawake kwakuwa wamejisogeza kwa wanaume bila kusubiri wakati wa wao kufunga ndoa halisi.

Ndoa hii ya mchongo imehalalisha zinaa, wanaume wanakula tunda kiulaini bila kupata shida na ndio maana wanamkataa ndoa na kuita ni utapeli.

Hii ndoa ya mchongo ya sogea tukae imepelekea wanawake kuwa single mama.

Ajabu wakishawazalisha wanawasema vibaya na wanasema hawawaoi.

Ndio maana watoto wasio na walezi wawili wamekuwa wakiongezeka huko mitaani.

Ni kwa kuwa wanaume wakishawazoea na kuwatumia huwachoka na kutafuta wanawake wapya na kuwaoa..

Nasema wanawake wamezitaka sababu ni kiherehere chao tu kimewapeleka kwa wanaume bila kufunga ndoa halisi ya kanisani na msikitini.

Wanaume wao wanaona kwao ni sawa tu maana umejipeleka mwenyewe kwao.

Hii imepelekea wanaume kuona kua ndoa halisi ya kanisani na msikitini haina maana wanaona tayari wameoa ilihali hawjaoa.

Imefanya wanaume kukataa ndoa na kuoana ni utapeli pia sababu imekuwa ni rahisi tu maana ukimwambia mwanamke njoo tuishi anakuja anahamia..

Sogea tukae imeharibu maana nzima ya ndoa halisi za kanisani na msikitini.

Pia imefanya wanaume wasiome umuhimu wa kufunga ndoa kanisani na msikitini.

Sogea tukae ni zinaa, kataa sogea tukae kataa utapeli..
Asilimia 99.99 ya walio kwenye ndoa, me included tuliazia hapo sogea tukae.
Hao wanafeli wanaenda kwa machaguo yasiyo sahihi.
Usijisogeze kiboyaboya.
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa tajwa,

Sogea tukae ni aina ya ndoa za mchongo ambazo wanawake wamezitaka.

Wamezitaka wanawake kwakuwa wamejisogeza kwa wanaume bila kusubiri wakati wa wao kufunga ndoa halisi.

Ndoa hii ya mchongo imehalalisha zinaa, wanaume wanakula tunda kiulaini bila kupata shida na ndio maana wanamkataa ndoa na kuita ni utapeli.

Hii ndoa ya mchongo ya sogea tukae imepelekea wanawake kuwa single mama.

Ajabu wakishawazalisha wanawasema vibaya na wanasema hawawaoi.

Ndio maana watoto wasio na walezi wawili wamekuwa wakiongezeka huko mitaani.

Ni kwa kuwa wanaume wakishawazoea na kuwatumia huwachoka na kutafuta wanawake wapya na kuwaoa..

Nasema wanawake wamezitaka sababu ni kiherehere chao tu kimewapeleka kwa wanaume bila kufunga ndoa halisi ya kanisani na msikitini.

Wanaume wao wanaona kwao ni sawa tu maana umejipeleka mwenyewe kwao.

Hii imepelekea wanaume kuona kua ndoa halisi ya kanisani na msikitini haina maana wanaona tayari wameoa ilihali hawjaoa.

Imefanya wanaume kukataa ndoa na kuoana ni utapeli pia sababu imekuwa ni rahisi tu maana ukimwambia mwanamke njoo tuishi anakuja anahamia..

Sogea tukae imeharibu maana nzima ya ndoa halisi za kanisani na msikitini.

Pia imefanya wanaume wasiome umuhimu wa kufunga ndoa kanisani na msikitini.

Sogea tukae ni zinaa, kataa sogea tukae kataa utapeli..
😅😅😅
 
Ogopa mwanamke ukimwaproach anasema mke wa mtu

Huyo yaani anataka uheshimu tu kuwa kaolewa hata akikupa usimtangaze

Hawa wanawake Hawa!!!!
 
Niliwahi ishi sogeza tukae kama miaka 2 changamoto ilikuwa dini. Baadae nikaamua kila mtu aishi kivyake. Babe hakubali hiyo hali ikabidi arudi tena tuendelee na Sogea tukae. Sipendi kushauri watu sogeza tukae ni heri ujulikane na mali kidogo utoe. Haya maisha yana mengi sana. Ni heri ubaki single kuliko sogeza tukae.
 
"Wanaume wanakula tunda kiulaini"
Poor and very stupid mindset kwani sex humfaidisha mwanaume pekeyake au wote nyie ndo mnafanya mapenzi yaonekane biashara kama ya kununua mazao,kwanini usiseme wanaume na wanawake wanakulana kiulaini??
 
Back
Top Bottom