Smart Technician
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 653
- 828
habari? naomba mnisaidie maana napata tabu kudownload kupitia simu yangu
kuna moja nimesearch inaitwa tubemate lakini nikatahadharishwa inaharibu simu nikaiacha, mwenye kufahamu plz
pili ningeomba pia mwenye kujua antivirus nzuri kwa Android devices aniambie pia, natanguliza shukrani
UC BROWSER ndo suluhisho lako pia ina ongeza speed ukiwa una download kwenye slow network