Software zipi unazo tumia zaidi kwenye simu yako

Software zipi unazo tumia zaidi kwenye simu yako

Windows 8.1
-VLC
-CHROME
-VISUAL STUDIO 2013
-ECLIPSE
-FOLDER LOCK
-FIFA 14
-OXFORD DICTIONARY
-010 EDITOR
-WAMPSERVER
-TEXT PAD
-UTORRENT
-TAXITA
-OFFICE 2013
-ADOBE CS6
-JDK
-IDM
-HOTSPOT SHIELD
-SQL server
-TOR
-VALIDA
-WinPcap
-WinRAR
-IIS
-Installshield
-cheatEngine
-DOSBox
-FileZilla
-ITunes
-Skype
-Putty
-TeamViewer
-Virtual DJ 7
-WIRESHARK
-NASM-CORE
FTPLITE
-DevCPP
-ILMerge
-Netbeans
-QT 5
-WebMatrixWeb
-DAM
-CGWeb
-motioninJoy
-NBA
-POWER ISO
-EASYBCD
-reshack
and more........................................
------and more of my own....................
:shock::shock:

Dah hii Pc inatumia muda gani ku_start?
 
Dah hii Pc inatumia muda gani ku_start?
nina change window every 3 weeks..........................
nina soma IT so lazima kutumia hizo software..............
window ina boot fasta kama nyingine...................
 
nina change window every 3 weeks..........................
nina soma IT so lazima kutumia hizo software..............
window ina boot fasta kama nyingine...................

mkuu hivi kuna madhara yoyote iwapo utakuwa unabadilisha window mara kwa mara.... na kam yapo ni yapi??????
 
nina change window every 3 weeks..........................
nina soma IT so lazima kutumia hizo software..............
window ina boot fasta kama nyingine...................

naona una putty hapo kati...vp unayo server?maana nataka Proxy
 
Yan PC yangu haina PDF reader, ila nataka ambayo inaweza kuread na kuconvert kwa wakati mmoja

hapo nimekuelewa. kwa upande wangu huwa natumia Adobe Reader kwa ajili ya kusoma PDF halafu pia natumia Word 2013 kwa ajili ya ku open PDF na ku convert katika format mbalimbali
 
Vlc
google chrome
notepad++
adobe dreamweaver cs 6
netbeans-java
oracle 11g
wamp server
winrar
adobe photoshop cs6
utorrent
adobe reader
adobe aftereffect
IDM
teracopy
Avast.
 
hapo nimekuelewa. kwa upande wangu huwa natumia Adobe Reader kwa ajili ya kusoma PDF halafu pia natumia Word 2013 kwa ajili ya ku open PDF na ku convert katika format mbalimbali

Nataka nitoe PDF kuja word au excell au format nyingine
 
sijaelewa lengi hasa la uu uzi ni kujigamba nan zaid ya mwenzie ktk matumizi ya freeware/shareware softtware au zile za mitonyo ...
 
Hii mada nimeipenda sana

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
sijaelewa lengi hasa la uu uzi ni kujigamba nan zaid ya mwenzie ktk matumizi ya freeware/shareware softtware au zile za mitonyo ...

lengo ni kujuzana software flani inafanya kazi flani.ili kama mtu alikuwa haijui na atapenda kuitumia aipate kwa urahisi.ila wengi hapa wanasahau kuweka maelezo kidogo ya hzo softs wanazozi list
 
software ya kuweka os ya android kwenye pc (virtual machine) kwangu inagoma hakuna nyingne?? natumia xp na win7 ktk pc zangu.
 
lengo ni kujuzana software flani inafanya kazi flani.ili kama mtu alikuwa haijui na atapenda kuitumia aipate kwa urahisi.ila wengi hapa wanasahau kuweka maelezo kidogo ya hzo softs wanazozi list
oky nimekupata mkuu..
 
sijaelewa lengi hasa la uu uzi ni kujigamba nan zaid ya mwenzie ktk matumizi ya freeware/shareware softtware au zile za mitonyo ...

Namini lengo ni zuri kwani kiukweli huwezi juha kila haina ya software duniani lakini kupitia kwa wengine unaweza kujifunza na kungamua ipi ni bora zaidi.

Yangu nimepiga chini juzi tu na kwa sasa nimeweka Software chache sana kama ifuatavyo:-

1. Slimdrivers - Kwa ajili ya kuweka drivers online downloading
2. Office 2010
3. Adobe reader 9
4. Chrome
5. Bluestack
6. kaspersky pure
7. Vlc
8. Chrome extension Easy video Downloader (Bila hii maisha hayaendi hapo naweza kushusha YUOTUBE yeyote kwa format yeyote nitakayo hata kushusha sauti tu inawezekana.
9. Ant video downloader (Extension pia hii ni kw aajili ya video flash amabzo sio YOUTUBE)
10. ISO
 
flareget- download manager
qbittorent- torrent downloading
grsync -kwa kusynchronise data zangu za pc na external hdd
subdownloader- for downloading subtitles (siangalii movie bila subtitles)
truecrypt- kwa kuprotect files zangu (it create encrypted containers)
Kiwix -offline wikipedia (full)
unity tweak tool -for customizing my ubuntu OS
firefox - hii ndio browser ninayo iprefer sababu ina addons nyingi na haitumii RAM kubwa kama chrome
Webogram- hiyo ni telegram ya PC
Pidgin- facebook chatting
vlc, smplayer, rythmbox and clementine -hizo ni kwa ajili ya kuplay media
shotwell/digikam - for organizing photos

GIMP, inkpsace and lightworks- for editing multimedia (nafanya mara chache)

lastpass (add-on) and keepassx -
kwa ajili ya password management (sipendi kuingiza password kila wakati last pass huwa infanya mambo yenyewe)
 
Unatumia OS gani mkuu?
 
Halafu kuna Browser inaitwa Torch, iko vizuri, inadownload torrents hapohapo na pia inadownload videos mpaka za youtube without third party downloader
 
Back
Top Bottom