1.avast antivirus - Mi situmii antivirus Nyengine zaidi ya
Windows Defender Plu
Deep Freeze std - OS ni Win 8.1.1
2.bit torent au u torents(kwa kudownload torrent) - Nisha acha kitambo kudownload torrent kwa torrent client, Huwa natumia
IDM kudownload torrent, Kivipi Ingia hapa |
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...w-to-convert-torrent-to-direct-http-link.html
3.bsplayer(kuchek movie,uzuri wake ukiplay movie isiyo na subtitles inakuletea fasta) - Natumia
VLC
4.winamp au smplayer kwa ajili ya audio player - Natumia
AMplayer
5.adobe master collection (editing za music,video,photo,drawing,websites.) - Tuko pamoja nina
AMC CS6
6.wampserver
7.notepad plus
8.antenna au arister(web design)
9.idm -
Ninayo
10.office2007 ndo naiaminia - Natumia office 2013
11.sothick,aaa logo au logo creator (logos) - Natumia
aaa logo creator
12.fl studio 11 (beat maker)
13.power iso,winrar,archiver - Ninatumia
UltraISO & WinRar
14.vlc player(flv player) -
KMP player sambamba na
VLC
15.mozilla firefox - Natumia
Pale Moon, Comodo Dragon & Comodo Ice Dragon
Zingine hizi hapa ninazotumia
Deejay nasmile katika PC yangu
- TunnelGuru
- Cproxy - kwa ajiri yaku_compress pages |Image
- Connectify Dispatcher Pro v8
- DropBox
- Photo Scape