Software zipi unazo tumia zaidi kwenye simu yako

Halafu kuna Browser inaitwa Torch, iko vizuri, inadownload torrents hapohapo na pia inadownload videos mpaka za youtube without third party downloader

inadownload torrents hata kama ukii close?? au haitakiwi u-minimize/close
 
mkuu hivi kuna madhara yoyote iwapo utakuwa unabadilisha window mara kwa mara.... na kam yapo ni yapi??????
hamna madhara kama uakua na ackup ya data zako...
kamouni kubwa hazikai na window mara kwa mara tu mb0na
 
KUNA HII SOFTWARE INAITWA FREESTUDIO, NI NZURI SANA KWANI INACONVERT FILES 40 TOFAUTI TOFAUTI
mfano wav to mp3,you videos,any audio format to any audio
nk program ina mb 83 tu
 
Kaka nisaidie Keys za Antenna Web design Studio v4, kule torrent naziona previous versions na seeders hamna.
 
virtualbox(kwa ajili ya kurun o.s nyingine mi nmeinstall kali linux ni mwendo wa kuhack madata hadi napata raha)
 
Hivi hizi software unadownload tu au unanunua then unainstall mimi ndo nmenunua pc hata cjaelewa
 
unaweza ukanunua pia uka download na ku install chaguo ni lako
 
1; Tubumate..... Inanifanya ni download kila kitu ninachokita toka YouTube.

2;Mp3 convert... Inanifanya nizifanye video kuwa audio, hasa nilizozitoa YouTube.

3;trackId.... Hii nikiisikilizisha wimbo wowote ule inaniambia ni nani na inanipeleka moja kwa YouTube kuu download.

4;Show box..hii movie Zote mpya na za zamani nazipata humo bure tena phaina masheriti wa kuuliza ni mimi tu.

Hizo tu ndio za ukweli kwangu.
 
Mkuu hii ShowBox nimeikubali,sikua hata naifahamu,thanks for sharing..Salute sana
 
1; Tubumate..... Inanifanya ni download kila kitu ninachokita toka YouTube.

2;Mp3 convert... Inanifanya nizifanye video kuwa audio, hasa nilizozitoa YouTube.

3;trackId.... Hii nikiisikilizisha wimbo wowote ule inaniambia ni nani na inanipeleka moja kwa YouTube kuu download.

4;Show box..hii movie Zote mpya na za zamani nazipata humo bure tena phaina masheriti wa kuuliza ni mimi tu.

Hizo tu ndio za ukweli kwangu.

Mkuu hivi tubemate kwenye pc inakubali?
 
Back
Top Bottom