nataka ku unlock T-MOBILE 3G za kutokea US,apa tz azifanyi kaz adi unlock ukiweka line unaambiwa uingize network namba zipatazo 8,lakin US zilikuwa zinafanya kazi,msaada wa ndugu
nataka ku unlock t-mobile 3g za kutokea us,apa tz azifanyi kaz adi unlock ukiweka line unaambiwa uingize network namba zipatazo 8,lakin us zilikuwa zinafanya kazi,msaada wa ndugu
nataka ku unlock T-MOBILE 3G za kutokea US,apa tz azifanyi kaz adi unlock ukiweka line unaambiwa uingize network namba zipatazo 8,lakin US zilikuwa zinafanya kazi,msaada wa ndugu
Mkuu labda mimi ndio sijui vizuri, nijuavyo mimi T-Mobile ni kampuni ya simu kama ilivyo Tigo au Vodacom na zingine, kwa hito kuna aina nyingi za simu zimetengenezwa kwaajili ya promotion kwa wateja wa T-Mobile na ndio maana zinatangulia neno T-Mobile, so inaweza ikawa ni iphone, HTC, Motorola, MDA nk
Yakwako ni simu ya aina gani hasa
Unaweza kufungua wangu Touch 3G T-ya Mkono Simu kutumia code kufungua, kupata kanuni kufungua kutoka Onlinegsmunlock.com tovuti na kufungua ni kutoka lock mtandao, kwa sababu kutumia kanuni kufungua kufungua simu ya mkononi kwa urahisi ..