t-mobile sim unlocking

t-mobile sim unlocking

QUALIFIED

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2012
Posts
773
Reaction score
119
habari wanajamvi
kama una mtu anafaham namna ya ku unlock sim za t-mobile ambazo zimefungwa upande wa line zinaomba codes sim yenyewe ni ya buttons
naomba msaada tafadhali
 
Kazi kweli kweli. Kama upo Dar peleka Kko. Kuna watu wana njaa sana unaweza saidiwa

Siyakudumisa Thixo
 
Back
Top Bottom