Wapendwa wana janvi, "NADESIGN" Software rahisi kwa ajili ya kusimamia HARUSI!
Inafanyaje Kazi!
Software hii inafanya kazi kwa kuanzia kwenye Bajeti,kuainisha pledges VS michango, kuoanisha gharama halisi kwa kila kamati Vs Bajeti , upembuzi kwenye mapungufu au ziada kwenye bajeti .
..... NI MATUMAINI YANGU MTANIUNGA MKONO WADAU
:confused2: