Amani kwenu wana jukwaa,
Kuna jamaa yangu mtaalamu wa IT amenipa hii link ya programu ambayo unaweza kuiga sauti ya mtu(angalia pia attachment)
link yenyewe hii hapa: AV Voice Changer Software - AVnex Ltd.
jaribu pia kugoogle: Software to imitate someone voice
natoa hoja
Muda bado upo, Mnafurahia sana, labda mtalia sana.Ya lwakatale sio hiyo ya kuiga bali ni kitu live. Ingekuwa ya kuiga,lwakatare alipaswa kuitisha press conference na kuikana fasta. Alisubiri nini kujitokeza kabla ya policcm hawajaamua kumkamata
Ya lwakatale sio hiyo ya kuiga bali ni kitu live. Ingekuwa ya kuiga,lwakatare alipaswa kuitisha press conference na kuikana fasta. Alisubiri nini kujitokeza kabla ya policcm hawajaamua kumkamata
Inaweza pia kubadilisha lips zinavyokwenda zifanane na maneno unayompandikizia mtu? Kwa accuracy gani?
Hivi uliiona ile video ya obama akiapishwa? (fake yake na original yake)
kinachofanyika ni kuondoa na kuweka baadhi tuu ya neno mojamo, hawachakachui speech yote.
Mfano mdogo: Ukinirekodi nikiwa nasema "keshokutwa nitauliza" inweza ikabadilishwa kidogo tu "kesho nitakuua"
nikazi ndogo sana kuchezea hayo maneno kukuingiza hatiani.Video Lipsi na sauti zinaonekana ni zako mwenyewe.
Ya lwakatale sio hiyo ya kuiga bali ni kitu live. Ingekuwa ya kuiga,lwakatare alipaswa kuitisha press conference na kuikana fasta. Alisubiri nini kujitokeza kabla ya policcm hawajaamua kumkamata
Inaweza pia kubadilisha lips zinavyokwenda zifanane na maneno unayompandikizia mtu? Kwa accuracy gani?
Kwa accuracy gani? Na kipimo gani?
Soma tena maelezo yangu hapo juu yana mifano ya majibu ya maswali yako.UNLESS unahitaji elimu zaidi ya uchakachuaji wa sauti ya kielectroniki na video manipulation.Usiumize kichwa sana ni TAALUMA TUU HIYO MKUU.