Software ya kuedit picha

Software ya kuedit picha

Robert mp

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
200
Reaction score
21
jamani naomba msaada software ya kuedit picha na pia msaada cimu yangu ipo slow sana kwenye internet.natumia cm aina ya ANDROID CELKON A85
 
Software nzuri ya kuedit picha ni PHOTOSHOP ila ni ngumu kujifunza mpaka upate mtu wa kukuelekeza. Kama unataka kwa matumizi ya kawaida jaribu PHOTOSCAPE, ichukuwe hapa
 
nataka kwa ajili ya cm wakuu sio kwenye comquta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom