Software ya ku-unlock Huawei TIGO modem permanentlly E303s-1

Software ya ku-unlock Huawei TIGO modem permanentlly E303s-1

Masuonline

Senior Member
Joined
Jun 4, 2013
Posts
192
Reaction score
17
Ndugu zangu,

Nina modemu ya tigo huawei e303s-1 hivyo nilikuwa naomba kwa mwenye link ya software yenye uwezo wa kuichakachua modemu hiyo atupiae link vile vile hata namna ya uchakachukuzi unaweza tupia ndugu zangu wana JF.

Asanteni sana nyote.
 
Je, unataka kufungua yako Huawei E303 kutoka lock carrier? Kama ni hivyo, badala ya kutumia programu, unaweza kutumia kufungua code kwa kufungua v yako Huawei E303 kutoka lock carrier. Unaweza kupata kutoka yoyote ya wachuuzi online kama Unlocking4U.com ya kufungua yake.
 
Back
Top Bottom