Software ya bei za bidhaa

Software ya bei za bidhaa

KENNY JEEZY

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2015
Posts
271
Reaction score
279
Habari zenu.
Mimi ni mfanyabiashara wa kati, nahitaji software ya computer ambayo itaniwezesha kuhifadhi bei za bidhaa zangu (bei niliyonunulia, bei ya kuuza, bei ya mwisho n.k) msaada kwa anayefahamu anisaidie
 
Habari zenu.
Mimi ni mfanyabiashara wa kati, nahitaji software ya computer ambayo itaniwezesha kuhifadhi bei za bidhaa zangu (bei niliyonunulia, bei ya kuuza, bei ya mwisho n.k) msaada kwa anayefahamu anisaidie
Kuna software nyingi sana, ambazo ni maarufu ni tally erp na QuickBooks, ambazo utahitaji kuzinunua na pia zina gharama za installation na maintananc.
Kama huitaji kuingia garama sana jaribu kutafuta open source software ambazo ziko mtandaoni nyingi tu. Ila mimi baada ya kuangaika sana nlikutana na software nzuri ijulikanayo km OPENSOURCE POINT OF SALE (OSPOS) hii ni nzuri sana naitumia huu ni mwaka wa tatu sasa. Haina garama km ww ni mtundu utaipakua mtandaoni, unahost km ni local host au online, na ni rahisi mno. Unaweza kipata maelezo zaid hapa
Open Source Point of Sale | Reviews for Open Source Point of Sale at SourceForge.net

Shukrani ziwaendee developers wote wa OPENSOURCE na contributors.
Nb. Ukiiona software hii imekusaidia usisite kuwapa walau kikombe cha kahawa..
 
Habari mdau, ipo software inaweza kukidhi mahitaji yako ni DM kwa taarifa zaidi na uweze kujaribu kwenye simu yako.
 

Attachments

  • Screenshot_2016-11-03-06-09-49.png
    Screenshot_2016-11-03-06-09-49.png
    24.9 KB · Views: 46
  • IMG_20161103_064723_274.jpg
    IMG_20161103_064723_274.jpg
    35.9 KB · Views: 50
  • IMG_20161103_064647_788.jpg
    IMG_20161103_064647_788.jpg
    52.5 KB · Views: 45
Njoo nikupe software nicheki 0687535650
 
Back
Top Bottom