Software to edit .avi files (video files) in windows and mac os x

Baba Mkwe

Member
Sep 25, 2012
45
21
Wandugu natafuta free software ya kuweza ku-edit .avi files, hizi ni video files sasa kuna nyingine sauti ni mbaya nataka kubadili sound au hata kuongeza au kuweka picha nyingine,
Nahitaji kwa ajili ya window na Mac os

any maujanja?
 
not sure lakini nahisi windows live movie maker inaweza fanya yote hayo na inakuja na pc ni bure. Isearch ipo humo humo ndan ya pc yako
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom